| MWEZI | WIKI | SHUGHULI | MTEKELEZAJI |
|---|---|---|---|
| JANUARY | 2 | 1. Kikao cha Walimu na Watumishi wasio walimu | ..Walimu, Watumishi wote |
| 2. Kutayarisha maandalio ya masomo | .. Walimu | ||
| 3. Kununua vitendea kazi vya shule vya kufundishia | ..Mwalimu mgavi | ||
| 4. Kufungua shule | .. Walimu na wanafunzi | ||
| 3 | 1. Usafi wa mazingira | .. Mwalimu wa mazingira na wanafunzi | |
| 2. Semina ya Form I English Course | .. Mkuu wa idara ya lugha | ||
| 3. Bunge la wanafunzi | .. Wanafunzi | ||
| 4 | 1. Kuanza English course Form I | .. Walimu, Wanafunzi | |
| 2. Kufuatilia ulipaji michango ya shule | .. Walimu wa madarasa | ||
| 3. Ukaguzi wa ufundishaji | .. Mkuu wa shule | ||
| FEBRUARI | 1 | 1. Vikao Idara ya masomo | .. Mwalimu wa taaluma |
| 2. Vikao Walimu na wanafunzi | .. Walimu na wanafunzi | ||
| 2 | 1.Kikao cha Bodi ya shule | .. Mkuu wa shule | |
| 2. Usajili kidato cha IV | .. Mwalimu wa taaluma | ||
| 3. Michezo ya Kimadarasa | .. Mwalimu wa michezo | ||
| 4. Kupokea walimu wapya | .. Mkuu wa shule | ||
| 5. Bunge la Wanafunzi | .. Wanafunzi | ||
| 3 | 1. Kufanyika kazi madi form IV | .. Mwalimu wa taaluma | |
| 2. UMMISETA | .. Mwalimu wa michezo, wanafunzi | ||
| 3. Kujaza kadi za maendeleo | .. Walimu wa madarasa | ||
| 4. Kuandaa bajeti ya shule | .. Mhasibu | ||
| 4 | 1. Michezo ya Madarasa | .. Mwalimu wa michezo | |
| 2. Ujazaji wa TSS 1-7 | .. Mkuu wa shule | ||
| 3. Ukaguzi wa ufundishaji | .. Mkuu wa shule | ||
| MACHI | 1 | 1. Kumaliza kozi ya kiingereza | ..Mkuu wa idara ya kiingereza |
| 2. Upimaji Afya | .. Mgeni mualikwa | ||
| 3. Ushauri kwa wanafunzi | .. Mgeni mualikwa | ||
| 4. Kikao cha walimu | .. Walimu wote | ||
| 2 | 1. Kutoa taarifa ya fedha | .. Mhasibu | |
| 2. Usafi wa mazingira | .. Mwalimu wa usafi, wanafunzi wote | ||
| 3. Kuandaa mitihani ya muhula wa kati | .. Walimu wote | ||
| 3 | 1. Kukagua ufundishaji | .. Mkuu wa shule | |
| 2. Bunge la wanafunzi | .. Wanafunzi | ||
| 4 | 1. Mazoezi ya gwaride na ukakamavu | .. Mwalimu wa michezo | |
| 2. Ushauri | .. Mgeni mualikwa | ||
| 3. Kuanza majaribio ya muhula wa kati | .. Mwalimu wa taaluma | ||
| 4. Likizo | .. Wanafunzi | ||
| APRILI | 1 | 1. UMMISETA | .. Mwalimu wa michezo |
| 2. Kutayarisha taarifa ya fedha ya nusu mwaka | .. Mhasibu | ||
| 3. Kikao cha walimu | .. Katibu | ||
| 2 | 1. Ukarabati wa madawati na majengo ya shule | .. Mwalimu wa matengenezo | |
| 2. Kazi mradi form IV | .. Mwalimu wa taaluma | ||
| 3 | 1. Kupanda miti na maua | .. Mwalimu wa usafi na mazingira | |
| 4 | 1. Mazoezi ya gwaride na ukakamavu | .. Mwalimu wa michezo | |
| 2. Kikao cha walimu | .. Mwalimu wa malezi | ||
| 3. Bunge la wanafunzi | Wanafunzi | ||
| MEI | 1 | 1. Majaribio ya mwisho wa mwezi | .. Mwalimu wa taaluma |
| 2. Burudani | .. Mwalimu wa michezo | ||
| 3. Upimaji wa afya | .. Mwalimu wa malezi | ||
| 2 | 1. MOCK Form IV | .. Mwalimu wa taaluma | |
| 2. Ukaguzi wa dhana na maandalio ya ufundishaji | .. Mkuu wa shule | ||
| 3. Ununuzi wa kitalu na zana za kufundishia | .. Mwalimu Mgavi | ||
| 3 | 1. Utungaji wa mitihani ya majaribio ya muhula wa I | .. Mwalimu wa taaluma | |
| 2. Usafi wa mazingira | .. Mwalimu wa usafi na mazingira | ||
| 3. Uwasilishaji wa mitihani muhula | .. Mwalimu wa taaluma | ||
| 4 | 1. kuendelea na kumalizika kwa mitihani ya muhula wa I | .. Mwalimu wa taaluma | |
| 2. Usahishaji Mitihani | .. Walimu | ||
| 3. Bunge la wanafunzi | Wanafunzi | ||
| 4. Usaili tabia za wanafunzi | .. Walimu | ||
| 5. Kujaza na kutuma C forms | .. Mwalimu wa taaluma | ||
| JUNE | 1 | 1. Baraza la shule | .. Wanafunzi, Walimu |
| 2. Kugawa Reports, Kufunga shule | .. Walimu wa madarasa | ||
| 2, 3 & 4 | 1. Likizo | .. Wanafunzi | |
| 2. Taarifa ya fedha mwaka | .. Mhasibu | ||
| JULY | 2 | 1. Kufungua shule | .. Wanafunzi, Walimu |
| 2. Kufanya usafi wa madarasa na mazingira ya shule | .. Mwalimu wa usafi na mazingira | ||
| 3. Kuanza ufundishaji | .. Walimu | ||
| 4. Kikao cha walimu | .. Katibu | ||
| 3 | 1. Upimaji afya za wanafunzi | .. Mwalimu wa malezi | |
| 2. Kukagua maandalio ya ufundishaji | .. Mwalimu wa taaluma | ||
| 3. Usajili wa watahiniwa kidato cha pili | .. Mwalimu wa taaluma | ||
| 4. Baraza la shule | .. Mwalimu wa malezi | ||
| 4 | 1. Michezo na burudani za wanafunzi | .. Mwalimu wa michezo | |
| 2. Gwaride, Bendi | .. Mwalimu wa michezo | ||
| AGOSTI | 1 | 1. Study Tours za wanafunzi | ..Mwalimu wa taaluma |
| 2. Majaribio mwisho wa mwezi | .. Mwalimu wa taaluma | ||
| 3. Vikao vya idara | .. Mwalimu wa taaluma | ||
| 4. Bunge la wanafunzi | .. Wanafunzi | ||
| 2 | 1. kukagua ufundishaji vilabu | .. Mkuu wa shule | |
| 2. Kikao, watumishi wasio walimu | .. Makamu mkuu wa shule | ||
| 3. Ushauri kwa wanafunzi | .. Mgeni mualikwa | ||
| 3 | 1. Usafi wa mazingira | .. Mwalimu wa mazingira na usafi | |
| 2. Kufanya tathimini ya ufundishaji | .. Mwalimu wa taaluma, walimu | ||
| 4 | 1. pre national form IV exams | .. Kidato cha IV | |
| 2. Vikao vya viranja | .. Mwalimu wa malezi | ||
| 3.Uchaguzi serikali ya wanafunzi | .. Mwalimu wa malezi | ||
| 4. Kutunga mtihani ya likizo fupi | .. Walimu | ||
| SEPTEMBA | 1 | 1. Majaribio ya likizo fupi | .. Wanafunzi |
| 2. Tathimini ya kitaaluma kidato cha IV | .. Walimu | ||
| 2 | 1. Likizo fupi | .. Wanafunzi | |
| 3 | 1. Usafi wa mazingira | .. Mwalimu wa usafi na mazingira | |
| 2. Kufungua shule | .. Wanafunzi wote | ||
| 3. Bunge la wanafunzi | .. Wanafunzi wote | ||
| 4. Kikao cha bodi ya shule | .. Katibu | ||
| 5. Maandalizi ya maafali kidato cha IV | .. Kidato cha IV | ||
| 4 | 1. study tours kitaaluma | .. Mwalimu wa taaluma | |
| 2. Vikao TAHOSSA | .. Mkuu wa shule | ||
| 3. Tathimini ya miradi ya shule | .. Mwalimu wa malezi | ||
| OCTOBA | 1 | 1. CSEE | .. Kidato cha IV |
| 2. Ukaguzi wa ufundishaji | .. Mkuu wa shule | ||
| 2 | 1. Michezo ya kirafiki | .. Mwalimu wa michezo na wanafunzi | |
| 2. Gwaride, Bendi | .. Mwalimu wa michezo na wanafunzi | ||
| 3 | 1. Kutunga mitihani ya mwisho wa mwaka | .. Walimu | |
| 2. Kuandaa taarifa za shule | .. Mwalimu mkuu/mhasibu | ||
| 3. Kikao cha wazazi | .. Mkuu wa shule | ||
SCHOOL CALENDAR
Subscribe to:
Comments (Atom)